Mountain View

Mountain View

COLUMBUS WHATSAPP JOKES AND FUN

Welcome to the Funniest Whatsapp Jokes by Columbus Cyber

"SOME BEST COLLECTION OF....." SIPENDI UJINGA MIMI
Jana, nilikutana na boy fulani akaniuliza
mbona nimekunja uso.
,nikamjibu, nataka kuiweka kwa Bag.
Sababu mi sipendi ujinga.

Ushawahi katia mrembo sana mpaka
anakushow uende kwao akuna mtu kufika
unapata pia yeye hayuko...... KUMBE HUYO MREMBO HAPENDI UJINGA

Sasa polisi anatusimamisha eti juu number
plate ya nyuma na ya mbele haifanani, alafu
beshteangu anamuuliza kama uso yake na
matako inafanana.......mi imebidi nicheke sai
tuko central ndo napatiana simu, so nitakua
mteja kiasi . Hata polisi kumbe hawatakangi ujinga.

Nimeenda hosi kupimwa ugonjwa,results kukam
doc ananisho ati choo yangu ni mbaya....
sainajenga ingine,
Sipendingi ujinga mimi
Nlitoka rave 3am juzi.Kufika Moi avenue
taxi ya home inalipisha 1500 na basi ya
Kuenda mombasa inalipisha 700,
Nlienda Mombasa na 700 nkarudi na
700 na nkabaki na mia.
Sitakangi ujinga mimi.

Mlevi anapanda gari alafu coda anamuuliza na
hii ulevi yako utaenda mbinguni kweli mlevi
akamjibu"kama mnaenda mbinguni simamisha
gari nishuke Mimi naenda tu apa ngara.......…..
PIA MLEVI HAPENDI UJINGA

Mtoi wa neighbour amenizoea sana.
nikimtuma kitu kwa duka anakula tu. juzi
nilimtuma mkate akaila, jana nikamtuma Blue
band akala. leo nimetuma super glue, saa hii haongei.
Ujinga sipendi!..

JOKES & FUN


Comment Box is loading comments...