Category Archives: African Swahili Jokes

Jambazi aliingia kanisani na bunduki na kusema…….

“…..Jambazi aliingia kanisani na bunduki na kusema.

Acha KUSALI sikilizeni kwa makini, wanaompenda ‘YESU’ wabaki humu ndani Nimalizane nao, wasiompenda watoke NJE Haraka.

Watu wote wakatoka kwa mbio tena mchungaji AKATOKEA Dirishani kwa kuona mlangoni kuna msongamano akabaki mpiga kinanda na wazee wawili wa kanisa, jambazi Akasema WAZEE wangu ENDELEENI na ibada. Nilikuwa nawaondolea wanafiki kanisani.

Tafakari wewe uko kundi lipi?

Please follow and like us:

Nilijua bhangi si majani chai ile siku niliwasha stima ndio nione tv poa…..

Nilijua bhangi si majani chai ile siku niliwasha stima ndio nione tv poa…..

kidogo kidogo nikachukua remote ya tv nikaenda mpesa kutoa pesa…. Kufika huko huyo jamaa akaniambia hiyo si simu….

Nikarudi kwa nyumba nikachukua simu nikawasha torch nikaanza kutafuta simu…. Continue reading Nilijua bhangi si majani chai ile siku niliwasha stima ndio nione tv poa…..

Please follow and like us: